MWANGA WA KILELE||HABARI NA MATUKIO
Summer Tides Malindi yazua mjadala kuhusu maadili ya jamii.Mahakama yawazuia Spika Wetang’ula na Kingi kujihusisha na kampeni za kisiasa.Washukiwa wanne wakamatwa kwa tuhuma za ulaghai wa ajira wakijifanya maafisa wa…
KITUO CHA MAFUTA KATIKATI YA MAKAZI CHAZUA HOFU MALINDI
Wakazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wameibua malalamiko kuhusu ujenzi wa kituo cha mafuta katikati ya makazi yao, wakihofia usalama wa maisha na mali zao. Wakazi hao…
UPANUZI WA MALINDI AIRPORT WAKWAMA
https://youtu.be/ZeTbt6cakOI
Serikali Yaombwa Kuharakisha Fidia kwa Walioathirika ili Kufanikisha Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Malindi
Viongozi katika Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wamiliki wa ardhi na wakazi walioathirika na mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Malindi,…
Mwanga wa kilele
MWANGA WA KILELE ||KIFO CHAZUA TAHARUKI KILIFI ||WATALII KUONGEZEKA MALINDI ||BODA BODA WAHIMIZWA KUDUMISHA AMANI UCHAGUZI 2027
SERIKALI YAIMARISHA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Serikali imesema imejipanga kuimarisha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya huku ikiongeza huduma za matibabu, ushauri nasaha na urekebishaji kwa waathirika ili warejee katika maisha ya kawaida.…
Wakazi wa Kibarani wahimizwa kusajili ardhi
Wakaazi wa eneo la Kibarani eneo bunge la Jomvu wametakiwa kushirikiana kwa karibu na idara ya upangaji mji katika shughuli ya usajili wa ardhi na upangaji wa nyumba katika eneo…
