Chaani Youth U-14 kuvaana na Mgalla United Jumapili
By:Hassan Pojjo Wazazi na walezi wa wachezaji wa Chaani Youth chini ya umri wa miaka 14 (Under-14) wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanahudhuria mechi ya kirafiki itakayochezwa Jumapili, Julai 26, 2026,…
