Waziri wa Kilimo wa Kaunti ya Kwale Apokea Magurudumu kutoka Kampuni ya Wanawake
Waziri wa Kilimo wa Kaunti ya Kwale, Mheshimiwa Roman Shera, amepokea magurudumu ya magari yaliyowasilishwa na Kampuni ya Mwangani Mwangaza Women Limited, ambayo inaungwa mkono na akina mama kutoka Wadi…
