Walemavu Wakemea Ubaguzi Kilifi
By:Glory Mwagambo Watu wenye ulemavu nchini wameitaka serikali na viongozi wa kisiasa kuhakikisha wanashirikishwa kikamilifu katika masuala ya kitaifa na kisiasa bila ubaguzi, wakisema bado wanakumbana na changamoto za kutengwa…
