Kombani Girls waichapa St. John’s Girls mabao 2-0
Michuano ya Digital Kickoff Tournament makala ya pili yanaendelea kuwa tamu huku mchezo wa pili wa mashindano hayo ukitoa ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa…
Kilele cha Maendeleo
Michuano ya Digital Kickoff Tournament makala ya pili yanaendelea kuwa tamu huku mchezo wa pili wa mashindano hayo ukitoa ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa…
Mashindano ya soka yanayodhaminiwa na Elkana Jacob, yanayolenga kuibua vipaji vya vijana, kuhamasisha amani na kuimarisha mshikamano katika eneo la Nyali, yanatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni. Mashindano hayo yatakayoshirikisha timu…
Summer Tides Malindi yazua mjadala kuhusu maadili ya jamii.Mahakama yawazuia Spika Wetang’ula na Kingi kujihusisha na kampeni za kisiasa.Washukiwa wanne wakamatwa kwa tuhuma za ulaghai wa ajira wakijifanya maafisa wa…
Wakazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wameibua malalamiko kuhusu ujenzi wa kituo cha mafuta katikati ya makazi yao, wakihofia usalama wa maisha na mali zao. Wakazi hao…
https://youtu.be/J2MEqB0IcXg
https://youtu.be/ZeTbt6cakOI
https://youtu.be/jEDog3d8vWs
Viongozi katika Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wamiliki wa ardhi na wakazi walioathirika na mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Malindi,…
Sekta ya uvuvi mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, inaendelea kukumbwa na changamoto kutokana na kupungua kwa idadi ya samaki baharini, hali ambayo imewaathiri mamia ya wavuvi wanaotegemea shughuli hiyo kujipatia…