GAVANA NASSIR AMPONGEZA RAIS RUTO KWA MIRADI YA MAENDELEO
By:Athuman Luchi Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir amemsifu Rais William Ruto kwa juhudi zake za kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, akisema baadhi ya miradi hiyo imeleta manufaa kwa wananchi na…
