Wakaazi wa Kisumu Ndogo Malindi Walalamikia Utupaji Holela wa Taka
Wakaazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wamelalamikia ongezeko la taka zinazotupwa karibu na shule mbili za msingi, wakisema hali hiyo inahatarisha afya ya wanafunzi na kutatiza shughuli…
