Mwanga wa Kilele|Habari za Mchana|Kilele Radio
Kenya yavunja rekodi ya Guinness kwa kupanda mikoko 4,124 | Afisa wa DCI ajeruhiwa katika shambulizi Lamu | Daraja la Marere laharibika, tahadhari yatolewa | Watu 11 wakamatwa kwa mbolea…
Kilele cha Maendeleo
Kenya yavunja rekodi ya Guinness kwa kupanda mikoko 4,124 | Afisa wa DCI ajeruhiwa katika shambulizi Lamu | Daraja la Marere laharibika, tahadhari yatolewa | Watu 11 wakamatwa kwa mbolea…
By:Farida Ali Hali ya taharuki ilitanda katika Kisiwa cha Lamu, Kaunti ya Lamu, baada ya afisa mmoja wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kujeruhiwa na kijana. Tukio…
By:Gloria Mwagambo Wito umetolewa kwa Serikali ya Kaunti ya Kilifi pamoja na wadau wa michezo na wahisani kujitokeza kusaidia kikundi cha vijana cha KD United kinachoshiriki mchezo wa mpira wa…
By:Robert Mutasi The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has made a major breakthrough in the ongoing crackdown on a suspected counterfeit fertiliser syndicate, arresting more suspects and recovering thousands of…
By:Hassan Pojjo Mashindano ya soka ya Rashid Abdallah Super Cup yanaendelea kushika kasi katika Kaunti ya Kwale huku makala yake ya saba yakivutia maelfu ya mashabiki kutokana na ushindani mkali…
By:Hassan Pojjo Watumiaji wa Barabara ya Kinango–Kwale wametakiwa kuwa waangalifu kufuatia kuharibika kwa sehemu ya Daraja la Marere (Manolo), hali ambayo imeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wasafiri wanaotumia barabara hiyo.…
By:Hassan Pojjo Mashabiki walioshuhudia mchezo wa kirafiki uliowakutanisha Mulungunii United na Mulungunii Secondary School walishuhudia pambano la ushindani mkubwa lililomalizika kwa sare tasa ya 0-0. Kuanzia kipenga cha kwanza, timu…
By:Hassan Pojjo Mashabiki waliojitokeza katika Uwanja wa Changamwe walishuhudia mchezo wa kusisimua wa kirafiki wa vijana chini ya umri wa miaka 14, ambapo Chaani Youth walitoka sare ya mabao 2-2…
By:Hassan Pojjo Muwania wa kiti cha Ubunge wa Msambweni kwa tiketi ya Jubilee Party, Omar Mwalago, amesema atatanguliza maslahi ya wananchi kupitia uongozi wa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii…
By:Hassan Pojjo & Alii Vincent Kenya imeweka historia mpya katika juhudi za uhifadhi wa mazingira baada ya kupanda miche ya mikoko 4,124 ndani ya sekunde 15 na kufanikiwa kuvunja Rekodi…