gen-z protest updates
gen-z protest in Mombasa Parliament Barricaded with Razor-Sharp Barbed Wire nairobi protesters,former cJ David Maraga and other opposition leaders roablocks spotted in major roads Deputy Inspector General of Police Eliud…
Kilele cha Maendeleo
gen-z protest in Mombasa Parliament Barricaded with Razor-Sharp Barbed Wire nairobi protesters,former cJ David Maraga and other opposition leaders roablocks spotted in major roads Deputy Inspector General of Police Eliud…
Kenya’s electoral commission has officially set August 10, 2027, as the date for the country’s next General Election, launching a comprehensive timetable that will shape the political landscape over the…
Mwaniaji wa kiti cha uwakilishi wa wanawake Mombasa, Amina Abdalla, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kushiriki kikamilifu katika maamuzi yanayohusu maendeleo ya maeneo yao ili kuhakikisha miradi inayotekelezwa inakidhi mahitaji…
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mombasa Tum wameweka wazi kutoshiriki katika maadamano ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakati wa maadamano ya kupinga mswaada wa fedha wa mwaka 2024/2025. Ikiwa…
idara ya polisi kaunti ya Mombasa imewaonya waandamanaji watakaovamia na kuharibu mali ya umma katika maandamano ya hapo kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakipinga mswaada wa fedha wa…
Shabiki Wa Kilele Radio usikose kusikiliza habari za idha ya Umoja wa Mataifa.
Wakaazi wa Kisumu Ndogo mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wamelalamikia ongezeko la taka zinazotupwa karibu na shule mbili za msingi, wakisema hali hiyo inahatarisha afya ya wanafunzi na kutatiza shughuli…
Vijana wametakiwa kuepuka uvunjaji wa sheria na vitendo vya uhalifu wakati wa maandamano yatakayofanyika kesho ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki katika maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka…
Mashindano ya Rashid Abdalla Super Cup yamezinduliwa rasmi kwa mara ya saba, yakivutia timu 44 kutoka ukanda wa Pwani katika kile kinachotarajiwa kuwa moja ya matoleo yenye ushindani mkubwa zaidi…
As the world observed International Widows Day, Nyali MP aspirant Elkana Jacob made a bold and far-reaching commitment to place widows at the center of his development agenda, promising greater…