Zamani nilisomewa hata ujumbe kutoka kwa mume wangu! Asante WFP
Nilikuwa nikipokea barua naomba mtu anisomee, sasa nasoma mwenyewe, lakini naomba WFP ituendeleze zaidi niweze hata kuandika barua ya kuomba kazi. Ni Espérance Bialogire, mkimbizi aliyenufaika na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP wa kusongesha usawa wa kijinsia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hasa eneo la […]
Zamani nilisomewa hata ujumbe kutoka kwa mume wangu! Asante WFP Read More »





