Sekta ya ujenzi na miundombinu Mombasa yapata msukumo kupitia mafunzo ya PropelA
Sekta ya ujenzi na miundombinu katika Kaunti ya Mombasa imepata msukumo mpya baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mafunzo ya ujuzi kupitia mfumo wa PropelA, unaolenga kuwapa vijana stadi zinazohitajika katika…
