SEKTA YA UVUVI YADORORA MJINI MALINDI
Sekta ya uvuvi mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, inaendelea kukumbwa na changamoto kutokana na kupungua kwa idadi ya samaki baharini, hali ambayo imewaathiri mamia ya wavuvi wanaotegemea shughuli hiyo kujipatia…
Kilele cha Maendeleo
Sekta ya uvuvi mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, inaendelea kukumbwa na changamoto kutokana na kupungua kwa idadi ya samaki baharini, hali ambayo imewaathiri mamia ya wavuvi wanaotegemea shughuli hiyo kujipatia…
MWANGA WA KILELE ||KIFO CHAZUA TAHARUKI KILIFI ||WATALII KUONGEZEKA MALINDI ||BODA BODA WAHIMIZWA KUDUMISHA AMANI UCHAGUZI 2027
Vijana wa Coast United Football wasiozidi miaka 17 kutoka wodi ya Magogoni eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wanaoshiriki michuano ya FKF ya mkufunzi Mohammed Mng’aro na Rama Changawa…
Wakazi wa eneo la Sabaki mjini Malindi Katika Kaunti ya Kilifi wamefurahia kukumbatia mradi wa kiwanda cha matunda kilichozinduliwa.wakiongozwa na gavana wa Kaunti hiyo Gedion Mung’aro pamoja na wawekezaji mbalimbali.…
Wakaazi wa eneo la Kuranze waitaka serikali kutatua mzozo wa ardhi unaowakosesha haki ya kumiliki ardhi kama wazaliwa wa eneo hilo.
Serikali imesema imejipanga kuimarisha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya huku ikiongeza huduma za matibabu, ushauri nasaha na urekebishaji kwa waathirika ili warejee katika maisha ya kawaida.…
Wakaazi wa eneo la Kibarani eneo bunge la Jomvu wametakiwa kushirikiana kwa karibu na idara ya upangaji mji katika shughuli ya usajili wa ardhi na upangaji wa nyumba katika eneo…
Serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kuongeza idadi ya watalii wanaozuru Kenya kutoka milioni 2.3 hadi kufikia milioni 5 ifikapo mwaka ujao. Haya yamebainishwa na Katibu wa Wizara ya Utalii, Julius…
Msambweni County Teaching and Referral Hospital is appealing to the public for assistance in identifying and locating the family of a young man who tragically lost his life two weeks…