
Kijana mmoja wa makamo ameuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Marikiti baada ya kushukiwa kuhusika katika tukio la kuchukua sehemu za siri za mwanaume mwingine katika mazingira ambayo bado hayajafahamika vizuri.
Wizara ya Uchukuzi ya Kaunti ya Mombasa imelaumiwa kwa madai ya kutoshirikiana na Muungano wa Waendeshaji wa Boda Boda katika zoezi la kuwasajili waendeshaji wote wa boda boda kaunti hiyo.

