Share this to

Wizara ya Uchukuzi ya Kaunti ya Mombasa imelaumiwa kwa madai ya kutoshirikiana na Muungano wa Waendeshaji wa Boda Boda katika zoezi la kuwasajili waendeshaji wote wa boda boda kaunti hiyo.

Akizungumza mjini Mombasa, Mwenyekiti wa Mombasa Boda Boda Association, Alfa Mwatsau, amesema zoezi hilo lilipaswa kuanza muda mrefu uliopita lakini limecheleweshwa kutokana na changamoto za ushirikiano kutoka kwa baadhi ya washikadau wa kaunti.


Share this to

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *