JOMVU YAANZA MCHAKATO WA MIRADI MPYA
By:Hassan Pojjo Wakazi wa Wadi ya Miritini, katika Eneo Bunge la Jomvu, wamejitokeza kwa wingi kushiriki kikao cha ushirikishwaji wa umma kilicholenga kukusanya maoni kuhusu miradi ya maendeleo itakayofadhiliwa kupitia…
