By:Athuman Luchi

Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir amemsifu Rais William Ruto kwa juhudi zake za kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, akisema baadhi ya miradi hiyo imeleta manufaa kwa wananchi na inastahili kuigwa.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa viongozi kushirikiana ili kuharakisha maendeleo na kuboresha huduma kwa wananchi.
