Share this to

By:Hassan Pojo

Harambee Starlets imefuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 nchini Morocco, ikiwa ni mara ya pili kwa Kenya kushiriki mashindano hayo baada ya mwaka 2016.

Katika upande wa mpira wa wavu, Timu ya Bomu Junior imefuzu kushiriki mashindano ya kanda (Regionals) baada ya kuonyesha kiwango bora katika mashindano ya shule za Changamwe.


Share this to

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *