Michuano ya Digital Kickoff Tournament makala ya pili yanaendelea kuwa tamu huku mchezo wa pili wa mashindano hayo ukitoa ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa soka chini ya udhamini wa Hon. Dkt. Omondi Obuya.
Kilele cha Maendeleo