Share this to

Kipute cha Kamoti Junior Super Cup makala ya tatu yanaendelea kushika kasi huku hatua ya timu 16 bora ikiingia katika hatua muhimu ya kuwania nafasi ya kutinga robo fainali.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea kiungo wa klabu ya Yanga, Pacôme Zouzoua, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya akiwa uwanjani.


Share this to

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *